90% Huenda mshiriki kutoka Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa
Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan akaibuka kidedea leo usiku katika
shindano hilo.
Tangu
asubuhi Runinga ya DStv kupitia Channel 197 na 198 inayoonyesha moja
washiriki 8 waliobakia katika mjengo huo, huku kamera ikimmulika zaidi
Idris mara kwa mara jambo linaloashiria huenda Watanzania tukacheka kwa
ushindi
↧