Matukio
ya wanaume kunyanyaswa na kufanyiwa ukatili na wake zao ikiwemo
kumwagiwa maji ya moto na hata wengine kukatwa viungo vyao yameshika
kasi mkoani Ruvuma ambapo baadhi ya wanaume wameanza kuripoti matukio
ya kunyanyaswa na wake zao katika madawati ya Jinsia.
Hayo yameelezwa na wanaharakati wa haki za binadamu kwenye
kongamano la maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili
↧