MWANADADA
anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura
'Lady Jaydee' amesema kamwe hatarajii kujiingiza katika masula ya siasa
kama wanavyofanya wanamuziki wenzake.
Kauli
hiyo aliitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari wa gazeti la
Jambo Leo Dar es Salaam jana, baada ya kutembelea chumba cha habari cha
gazeti hilo katika Jengo la Hifadhi House katika
↧