Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana
ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye
wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa Ujerumani ambako
amelazwa
↧