Hatimaye Abdulkarimu Thabiti Hasia aliyekuwa akituhumiwa kwa
ugaidi, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru
alipokuwa amelazwa kwa miezi sita akiwa mikononi wa polisi.
Taarifa
ya kifo cha Hasia aliyekuwa mmoja wa maimamu wa Msikiti wa Geti la Mbao
Mbauda, ilitolewa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Arusha
wakati kesi ya mtuhumiwa huyo na wenzake saba
↧