Mapigano makali yamezuka kati ya jamii mbili za wafugaji katika
Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na kusababisha vifo vya watu zaidi ya
tisa.
Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kihale,
Tarafa ya Chole wilayani Kisarawe na yamehusisha jamii mbili za wafugaji
wa kabila la Wasukuma na Wabarbaig ‘Mang’ati’.
Hata
hivyo, imeelezwa kuwa ni miili ya wafugaji watano tu ndiyo
↧