Viongozi wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na
Deo Filikunjombe wamemtuhumu Waziri William Lukuvi kuwa alitaka kuiba
ripoti ya kamati yao kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya
Tegeta Escrow.
Sakata hilo lilihitimishwa Jumamosi wakati Bunge
lilipoazimia kuwajibishwa kwa watu wote waliohusika kwenye uchotwaji wa
fedha hizo, ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa
↧