Siri ya kunusurika kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sakata
la Akaunti ya Tegeta Escrow imebainika kuwa wajumbe wa Kamati ya
Maridhiano walikubaliana kumwacha kutokana na kubakiza muda mfupi na pia
kukwepa kuvunja Baraza la Mawaziri kwa mara ya pili.
Mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo walioandaa
maazimio manane ya Bunge, Dk Hamis Kigwangalla alisema jana kuwa bila
kufikia
↧