Hatimae kilio cha muda mrefu cha watazamaji na wapenzi wa ITV juu ya
ITV kuingia kwenye king'amuzi cha DSTV kimesikika na sasa ITV imeingia
rasmi kwenye king'amuzi hicho na itaonekana kwenye vifurushi vyote vya
DSTV.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa ITV/Radio
One Joyce Mhavile amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu kati ya ITV
na DSTV kuhusu ITV kuingia
↧