November 29, haitakumbwa kwenye maisha ya Diamond Platnumz na familia
yake pekee, bali pia kwenye muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa
ujumla, baada ya hitmaker huyo wa ‘Number One’ kunyakua tuzo tatu kwenye
tuzo za Channel O.
Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hivyo ni
pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop Video na Most
Gifted Newcomer.
↧