Nchambi: Anailaumu
serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana
hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri
kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya biblia kuhusu kuheshimu
mamlaka), anasema kila mtu atawajibika kwa namna yake.
Mbunge wa Kishapu (CCM), Suleiman Masoud Nchambi.
Hasara nyingine tuliyoipta ni gharama za mawakili(bilioni
↧