Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni
ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki Kuu ya Tanzania umezidi
kuunguruma nchini Tanzania kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Hesabu za Serikali, PAC, na ripoti ya serikali kuhusu kashafa hiyo.
Mambo yaliyojitokeza
katika ripoti ya PAC ni kutaja majina ya viongozi na maafisa wandamizi
wa serikali walionufaika na mgao huo
↧