Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na simu za kupangusa.
Ukiachana na Agness Gerald ‘Masogange’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, Rehema Fabian, Husna Maulid ambao walisharipotiwa huko nyuma, mrembo maarufu kwa jina moja la Lulu ambaye ameuza
↧