Vurugu za aina yake ziliibuka Bungeni jana usiku baada ya UKAWA Kugoma kuendelea na mjadala wa Bunge wakishinikiza Waziri Muhongo awajibishwe....
Vurugu hizo ziliibuka baada ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, mh. Freeman Mbowe kusimama na kumtuhumu Spika wa bunge kuwakumbatia wezi wa Pesa za Escrow, hali iliyowafaya wabunge wa
↧