Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za
Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa
la moyoni akisimulia tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi alivyobakwa.
Akizungumza na Gpl, Aunty Lulu asiyeishiwa na vimbwanga alisema
kwamba, kamwe hawezi kusahau tukio hilo maishani mwake.
Aunty Lulu
aliyeng’ara kwenye Sinema ya Lost Soul
↧