Wakazi
zaidi ta 350 wa vijiji vitatu vilivyopo kata ya Maere jijini Tanga
wamelalamikia zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapiga kura
kufuatia kituo walichozoea kujiandikisha katika chaguzi mbalimbali
zilizopita kuhamishiwa umbali wa kilomita Saba kutoka katika makazi yao
hatua ambayo inawalazimu baadhi ya wasamaria wema kujitolea kukodisha
usafiri wa pikipiki almaarufu boda
↧