Bunge limeazimia waziri wa nishati na madini Mhe.Prof Sospeter
Mhongo,Waziri wa ardhi Prof. Anna Tibaijuka,Mwanasheria mkuu wa serikali
jaji Fredrick Werema na katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini
pamoja na bodi ya wakurugenzi wa Tanesco wawajibishwe kwa kuishauri
mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi wao.
Akiwasilisha maazimio hayo mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Kabwe
amesema bunge
↧