Rais Jakaya Kikwete amesema amepona saratani baada ya kufanyiwa upasuaji mapema mwezi huu nchini Marekani.
"Niligundulika
kuwa na hatua ya pili ya saratani ya kibofu, ambayo baadaye ikaonekana
kuwa ni hatua ya kwanza," alisema Kikwete katika hotuba yake aliyoitoa akiwa uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam
baada ya kurejea kutoka Marekani.
Aliongeza kuwa madaktari
wamesema sasa
↧