Baada ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge
mara mbili siku ya leo Novemba 29 ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze
kufanya marekebisho ya maneno yaliyoandikwa kwenye maazimio
yaliyowasilishwa na Kamati ya PAC, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Zitto Kabwe ametaja majina ya walioteuliwa na Kamati hiyo kuandika maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa wa Tegeta Escrow.
Kupitia ukurasa wake wa
↧