Mahakama Kuu ya Tanzania imemuachia huru aliyekuwa Katibu wa Taasisi
za Kiislam, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya
Kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self
iliyokuwa inamkabili.
Akisoma Mashtaka hayo Mwanasheria wa Serikali, Tumaini Kweka mbele ya
Jaji, Augustino Shangwe alisema baada ya kupitia vifungu vyote mahakama
imejiridhisha
↧