MWENYEKITI ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu:
Wananchi wanataka kujua ukweli, na anatoa nasaha zake ili bunge
lisilete fujo
Tundu Lissu: Anaomba radhi ya kauli ya jana kuhusu tuhuma ya wakili kumuua mkewe.
Escrow:
Muhongo kapotosha, viambatanisho haviwakilishi alivyosema. Muhongo
ameleta vitu viwili tofauti na ni upotoshaji mtupu. Pesa za Escrow ni za
↧