Lile tukio la ajabu ambalo limestaajabisha wengi la mti ambao ulikuwa
umeanguka kwa zaidi ya miaka mitatu kuinuka, limekaa kwenye
headline tena ambapo viongozi wa Serikali wamezungumzia hilo huku
wananchi wakisisitizwa kuutunza.
Mti huo umeinuka siku ya Oktoba 15 mwaka huu, ambapo Katibu tawala wa Wilaya ya Uyuwi amesema; “…kwa
mazingira tunayoyaona hapa tukio ni kweli limetokea
↧