WAZIRI MKUU
- Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu,
alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha
kutoka katika akaunti ya ESCROW.
-Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka
kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba
aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya
↧