Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali katika Bunge la Jamumuhi ya
Muungano wa Tanzania, imewasilisha ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL
na kuhusisha uchotwaji wa shilingi bilioni 306 za kitanzania.
Pamoja na kuwepo tetesi za pingamizi ya mahakama kuzuia kusomwa kwa
ripoti hiyo Bungeni, Mwenyeti wa kamati Zitto Kabwe alisoma ripoti na
kulithibitishia Bunge hilo kwamba viongozi na
↧