Taratibu
za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete, zimekamilika jana, Jumatatu, Novemba 24, 2014.
Taratibu
hizo za matibabu za Mheshimiwa Rais Kikwete zilikamilika kiasi cha saa
12 asubuhi ya jana wakati madaktari bingwa katika Hospitali ya Johns
Hopkins iliyoko mjini Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani,
walipomfanyia hatua ya
↧