Kufuatia Taarifa za kujadiliwa kwa suala la ufisadi katika akaunti ya
Tegeta Escrow kupelekwa mahakamani ili lisijadiliwe na Bunge, Spika wa
Bunge Bi. Anna Makinda amesema hakuna Muhimili utakaoweza kuingilia
shughuli za bunge.
Akitoa Muongozo wake Baada ya Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh. John
Cheyo kutaka kujua ni hatua gani zitachukuliwa na Bunge dhidi ya suala
hilo kufikishwa
↧