Jopo la majaji watatu wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam chini ya
jaji Radhia Sheikhe limezuia mjadala wa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi
mkuu wa serikali kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow hadi hapo hoja ya
msingi ambayo ipo mahakamani itakapofanyiwa kazi.
Jopo hilo lililokuwa likiongozwa na Mh Radhia Sheikhe wameagiza
kutofanyika kwa mjadala wotote kuhusu ripoti ya CAG huko
↧