Shirika la Viwango Tanzania (TBS) jana liliteketeza kondomu feki aina ya Mood vipande 601,100 vyenye thamani ya Sh. milioni 29.7 ambazo zimebainika kutengenezwa India.
Akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya zoezi hilo lililofanyika katika eneo la Pugu Dampo, Ofisa Ubora kutoka TBS, Athuman Kisumo, alisema kondomu hizo ziliteketezwa baada ya kuwasili nchini na kubainika hazina ubora na
↧