MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.
Hali hiyo ilitokea katika ziara aliyoifanya kujionea maendeleo ya ujenzi wa maabara hizo, ambazo Rais Jakaya Kikwete alitoa maagizo kwa wakuu wa wilaya zote
↧
Watendaji 17 Waswekwa Rumande kwa Kushindwa Kusimamia Agizo la Rais Kikwete kuhusu Ujenzi wa Maabara
↧