Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amekumbana na wakati mgumu, ikiwa ni pamoja na kuzomewa na wabunge na kukatizwa wakati akitoa maelezo kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kupendekeza yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa serikali, akiwamo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wawajibishwe.
Mbali na kukumbana na wakati mgumu kabla na
↧