Wanafunzi 387 wa vijiji vya kata ya
nambisi wilayani mbulu mkoani manyara wanaosoma katika shule ya
sekondari ya kata ya Murray wamelazimika kuacha masomo baada ya
kushindwa kutembea umbali mrefu wa zaidi ya km 30 wa kwenda na kurudi
kila siku kutokana na wanachi wa vijiji hivyo kuibua mgogoro wa kutaka
kila kijiji kujenga shule yake.
Makamu mkuu wa shule hiyo Bw.Denis Lohay
↧