Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi
yasiyoweza kuandikika kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ,
msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’
amefunguka kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo bali ulivuja kwa
bahati mbaya mitandaoni.
Akiongea na Mwandishi wetu, Dully alisema kuwa wimbo huo
aliomshirikisha mwanadada
↧