Mrembo aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali
za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii
kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema
kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu
vyake vinamuendea sawa na maisha yake yanasonga mbele siku hadi siku
↧