Ni wiki ya shida. Wiki hii inatarajiwa kuwa ya
vikao mfululizo na mijadala isiyokoma. Ndiyo wiki inayotarajiwa kuuweka
hadharani mtikisiko wa tano katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete
wakati ripoti ya uchunguzi wa sakata la IPTL itakapowasilishwa rasmi kwa
wabunge na Taifa kwa jumla mjini Dodoma keshokutwa na kuhitimisha
minong’ono na uvumi.
Ni wiki ambayo Bunge litaamua juu
ya
↧