Serikali
ya Tanzania imesema ipo kwenye mchakato wa kuandaa adhabu mbadala kwa
wahalifu wa makosa madogo madogo ili kupunguza msongamano magerezani
ambao kwa sasa unapelekea hali mbaya katika Magereza hayo.
Akijibu swali bungeni mjini Dodoma jana kwa niaba ya Waziri wa Mambo
ya Ndani ya nchi, Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utumishi Bi. Celina
Kombani amesema hali ya msongamano kwa
↧