Aliyekuwa rais wa mpito nchi ya Zambia, Guys Scott.
Chama tawala nchini Zambia (PF) kimemtimua kaimu rais wa nchi hiyo Guys Scott kutoka chamani kwa kuvunja utaratibu wa katiba.
Taarifa
hii ni kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho. ''Amekuwa akiwaajiri na
kuwafuta watu kazi ovyo na pia bila ya kushauriana na kamati kuu ya
chama,'' amesema Malozo Sichone.
Bwana Scott, ambaye
↧