Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amelishwa sumu wakati
akiwa kwenye safari ya kikazi jijini London nchini Uingereza, imeelezwa.
Kwa
mujibu wa tovuti ya The Citizen, Mkono ambaye pia ni mwanasheria
maarufu, aliugua ghafla alipokuwa jijini humo.
Madaktari wake walisema
kuwa alikuwa amelishwa sumu iliyokuwa imekusudiwa kuharibu figo zake
ndani ya saa 72.
“Ilikuwa siku
↧