Watu
Sita wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa wilayani Songea
mkoani Ruvuma baada ya kupigwa na radi kufuati mvua kubwa iliyonyesha
usiku wa kuamkia leo.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma ACP Mihayo Msikhela amesema kuwa
maafa hayo yalitokea majira ya saa mbili usiku wakati watu hao wakila
chakula cha usiku kwenye mgahawa wa chuo cha kilimo na mifugo cha Liti
Madaba
↧