Tume
ya kudhibiti ukimwi nchini Tanzania TACAIDS imelitaja kundi la Wanawake
na Vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 25 kuwa ndio makundi
makubwa yanayoongoza kwa kuwa na virusi vya ugonjwa hatari wa ukimwi
hapa nchini.
Mwenyekiti
wa TACAIDS Dkt. Fatma Mrisho amesema hayo jana jijini Dar es salaam
wakati alipokuwa akizungumzia maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani
Desemba
↧