MREMBO
wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha
Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema
mwezi ujao huko nchini Uingereza.
Akiongea
na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, mlimbwende huyo
amewaeleza waadishi kuwa, kutokana na uzoefu wa kazi zake alizokuwa
akifanya kwa jamii kwa muda kipindi cha mwaka mmoja
↧