Serikali
ya Tanzania imetakiwa kuanzisha mahakama maalumu itakayokuwa na jukumu
la kushughulikia masuala na kesi zinazohusu uwekezaji.
Kauli
hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na vyama vitano visivyo na
uwakilishi bungeni kupitia kwa mwenyekiti wa kamati maalum ya maatibu
wakuu wa vyama hivyo Bw. Renatus Muhabi.
Kwa mujibu wa Muhabi, mahakama ya uwekezaji itakuwa na jukumu la
↧