SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
Muswada huo pia unampa Mamlaka Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya upekuzi, kukamata, kuchukua na kuuza mali za mlipa kodi kwa lengo la kukomboa kodi na kuzuia
↧