Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa
ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya
ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM kuelekea
Uchaguzi Mkuu wa mwakani.
Ripoti hiyo iliyozinduliwa
Dar es Salaam juzi, inaonyesha kuwa kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika sasa,
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeshinda urais
↧