Baada ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na
Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa
ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku
moja.
Akiongea na Gpl, Baby Madaha
alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza
Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo
akishahakikisha huyo mwanaume ni
↧