Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na
vikao vyake mjini Dodoma, imeelezwa kwamba nusu ya wabunge 239 wa
kuchaguliwa waliopo sasa, watabwagwa katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Hiyo inatokana na wabunge kutoa ahadi nyingi kwa wapigakura ambazo hawazitekelezi hivyo kukumbwa na rungu la wananchi mwakani.
Hayo
ni matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza
↧