Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea
matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu
2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa
zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.
Wakati
Lowassa angeibuka na ushindi kwa asilimia 13 na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda angefuatia kwa karibu akiwa na asilimia 12 huku Katibu Mkuu
↧