Mwanamuziki wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu'
amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili
zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez
Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar
kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez
↧