SERIKALI imesema Tanzania haina sheria ya kuwaruhusu wafungwa kukutana faragha na wenzao wao.
Hii ni mara ya tatu kwa serikali kutoa majibu hayo, kutokana na maswali ya wabunge ambapo mara kadhaa swali hilo limekuwa likiulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Maryam Salum Msabaha (Chadema).
Hata hivyo, jana Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima alikiri kwa Tanzania
↧