JESHI la Polisi, sungusungu na askari wengine wameagizwa kuzingatia sheria na kanuni wakati wa kukamata wahalifu ili kupunguza majeruhi na vifo ambavyo hutokea mikononi mwao.
Agizo hilo lilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene alipokuwa akijibu swali kwa niaba ya Waziri Mkuu.
Alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Meatu,
↧