Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea
kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano,
wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa.
Mauaji
hayo yalitokea juzi na jana kwenye vijiji vya Kazinguru na Lamrambogo
katika Kata ya Matui ambako watu zaidi ya kumi na mmoja wanadaiwa
kujeruhiwa huku maboma 14 ya wafugaji yakichomwa moto na
↧